Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Mose Iyobo kaongea kuhusu kumwita Harmorapa Nyani, Harmorapa kajibu pia

on

Baada ya Mtangazaji wa XXL ya Clouds FM, B Dozen kupost picha Instagram akiwa na mtafiti wa wanyama aina ya Sokwe, dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo alicomment kwenye picha hiyo kuwa mtafiti huyo aje na Dar es salaam kumfanyia utafiti Harmorapa.

Sasa leo January 30 2017 kupitia YOU HEARD ya XXL clouds FM, Soudy Brown ametuletea  inayomhusu Mose Iyobo kumfanisha Harmorapa na Nyani ambapo haya ni majibu ya Harmorapa baada ya hiyo comment.

‘Asante sana Mose kwa kuniita nyani ila akae atambue anamkufuru Mungu kwa sababu ndio aliyeniumba kwa hiyo anavyonifananisha na nyani na mimi nafananishwa na Harmonize pia na Hamornize ni nyani kwa hiyo tuko nyani wawili’-Hamorapa

Mose Iyobo kwa upande wake ameongea yafuatayo >>>’Mimi sioni cha ajabu, kuna mtu anaitwa Simba na anafurahi, kuna mtu anajiita Dudu baya na anafurahi leo mtu kumuita mtu nyani yanakuja maneno mengi, wao wanatukana maneno mangapi na hujasikia nimeenda kusema sehemu’

Bonyeza play hapa chini kusikiliza full Stori

Ulikosa? Harmorapa akiongea ukweli kuhusu undugu na Harmonize, Wolper wake je?, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement