Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD Beef kati ya wapenzi wawili wa Dancers kutoka WCB

on

Ni kawaida yangu kila siku kukuletea stori zote zinazochukua headlines leo November 24 2016 kama wewe utakuwa ni mpenzi wa kuzifuatilia stori zote za Entertaiment basi nisingependa upitwe na hii U Heard kutoka kwenye XXL ya Clouds FM, Soudy Brown ametukutanisha na hii ya wake wawili wa Dancers wawili kutoka WCB kuripotiwa kuingia kwenye beef.

Sroti hizo zinaripOtiwa kuanza katika mitandao ya kijamii ambapo wawili hao ambao ni mke wa Moze Iyobo (Aunty Ezekiel) na mke wa Dummy Utamu (Juju) kurushiana vijembe kwenye account zao za Instagram

Mimi naona hakuna tatizo sema yale ni mambo ya kike ndio maana mimi na Dummy tumekaa kimya kama itahitajika sisi kuingilia kati tutafanya hivyo lakini mimi na Dummy hatuna tatizo lolote‘>>>Moze Iyobo

ULIMISS HII YA BIEN WA SAUTI SOL KUHUSU USHINDANI KATI YA DIOMOND PLATNUMZ NA ALIKIBA ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI….

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement