Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Ya Video queen wa Jike Shupa kuzaa na Juma Nature

on

Leo October 13, 2016 kupitia U Heard ya Clouds FM, mtangazaji Soudy Brown amepiga story na mrembo aliyeonekana kwenye Video ya star wa hit single ya Jike Shupa, Nuhu Mziwanda aitwaye Zena Abdallah ambaye ameeleza kuhusu mtoto wake ambaye inadaiwa alizaa na msanii Juma Nature.

>>>Mtoto wangu ni mkubwa ana miaka nane, Juma asingeweza kukataa mtoto wake jamani hawezi kukataa damu nzito kuliko maji anafanana naye sema tu ni mweupe sababu mimi ni mweupe. Na anampa matunzo sababu anaishi naye kwake tangu akiwa na miaka miwili:- Jike Shupa

Kuipata stori kamili Play hapa chini.

ULIMISS KUONA MCHANGO ALIOUTOA DIAMOND PLATINUMZ KWA KIJANA ALIYETOBOLEWA MACHO? TAZAMA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement