Biko


Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

Watoto waliokula majani baada ya baba kuibiwa ng’ombe na kuleta mganga Mkenya

on

DUNIA ina maajabu yake ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo July 27, 2017 mtangazaji Geah habib kuifuatilia Hekaheka iliyotokea Mara ambako wanafamilia moja kugeuka na kula majani baada ya baba yao kuibiwa ng’ombe na kumleta mganga Mkenya.

Inadaiwa kuwa mzee huyo baada ya kuibiwa ng’ombe wake aliamua kusafiri hadi Kenya ambako alimchukua Mganga wa kienyeji ambaye alimuahidi waliomuibia watakuwa na tabia za kula ng’ombe ikiwemo kula majani baada ya kufanya dawa zake.

Baada ya kumaliza kuchanganya dawa zake ndipo ghafla ndugu wawili wa familia hiyo wakaanza kubadilika na kuwa na tabia za ng’ombe ikiwa ni pamoja na kula majani na kubainika kuwa ndiyo walioiba ng’ombe.

Kujua kila kitu kilichoendelea katika mkasa huo na nini kilitokea baada watu hao kugeuka na kuwa na tabia za ng’ombe bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza zaidi.

Heka Heka: Mkasa wa mwizi aliyeiba kisha kulala mahali alipoiba

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement