PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: Ilivyozinduliwa Filamu mpya ya Kibongo T-Junction, Mlimani City

on

Usiku wa August 10, 2017 Mlimani City kulikuwa na uzinduzi wa filamu mpya T-Junction ambayo imeshirikisha mastaa wachache huku idadi kubwa ikiwa ni wasanii chipukizi kwenye tasnia ya Filamu na mgeni Rasmi akiwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.

Ayo TV ilipiga story na baadhi ya mastaa waliohudhuria uzinduzi huo Single Mtambalike, Gabo Zegamba na MC Pilipili na wengine chipukizi waliopata nafasi ya kuhudhuria uzinduzi huo ambao walizungumzia mapinduzi ya Bongomovie pamoja na mvutano uliopo baina yao.

Nimekuwekea Video hapa chini Bonyeza Play kuitazama…

Mastaa wa Tanzania waliotajwa kwenye list ya AFRIMA 2017 

Soma na hizi

Tupia Comments