Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Magoli 10 yanayowania tuzo ya goli bora la dunia la FIFA 2016

on

Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo November 21 2016 limetoa list ya magoli kumi na wafungaji wake waliofanikiwa kuingia kuwania tuzo ya goli bora la dunia kwa mwaka 2016, list hiyo imeanza kutolewa na 101greatgoals.com.

Magoli ya Lionel Messi na mchezaji mwenzake wa FC Barcelona Neymar ni miongoni mwa magoli  yalioingia katika list hiyo ya magoli 10.

Kama utakuwa unakumbuka vizuri tuzo hiyo ya Puskas ambayo inatimiza mwaka wa 5 kwa sasa, kwa mwaka 2015 Wendell Lira ambaye amestaafu akiwa Vila Nova ndio alishinda tuzo hiyo. Bonyeza HAPA kupata video ya magoli yote 10.

screen-shot-2016-11-21-at-16-26-35

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement