Biko Ad 2
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Baada ya kushindwa kufanya show, Werrason amerudi tena Tanzania

on

Msanii wa dance kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Werrason baada ya awali kushindwa kufanya show kutokana na mvua kunyesha kubwa Dar es Salaa, leo July 5 2018 amerudi tena Tanzania na kuthibitisha kuwa atafanya show mikoa mitatu.

Werrason amethibitisha kuwa amerudi Tanzania baada ya mashabiki wake kukosa kuona show yake mwanzoni, ataanza kufanya show Arusha July 6, Mwanza July 7 halafu atamaliza jijini Dar es Salaam Jumapili ya July 8.

Baada ya vuta nikuvute, Muna Love amemtaja baba wa mtoto

Soma na hizi

Tupia Comments