Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Hat-trick ya Ronaldo imevunja rekodi mbili za Atletico Madrid

on

Usiku wa November 19 2016 katika Ligi Kuu Hispania ulichezwa mchezo kati ya Atletico Madrid dhidi ya Real Madrid katika uwanja wa Vicente Calderon, huo ni moja kati ya mIchezo ilioyokuwa na mvuto katika mechi tano kubwa zilizochezwa Jumamosi ya November 19 katika Ligi 5 barani Ulaya.

3a8fa6b800000578-0-image-a-7_1479588439657

Real Madrid walisafiri kuwafuata Atletico Madrid katika uwanja wa Vicente Calderon, wenyeji wao wakiwa na rekodi ya kucheza mechi nyingi zaidi 22 bila kupoteza katika uwanja wao wa nyumbani, kwa mara ya kwanza Atletico Madrid wamekubali kufungwa goli tatu toka Jan Oblak aanze kuidakia Atletico.

3a8f93d300000578-0-image-a-5_1479588420314

Hata hivyo mchezo wa Madrid Derby umemalizika kwa Real Madrid kuondoka na point tatu kwa kuifunga Atletico goli 3-0, tukishuhudia Cristiano Ronaldo akifunga hat-trick dakika ya 23, 71 na 77. kufutia ushindi huo Ronaldo anakuwa kavunja rekodi ya mechi 22 za Atletico bila kufungwa nyumbani na rekodi ya Jan Oblak.

BONYEZA HAPA KUANGALIA HAT-TRICK YA RONALDO

screen-shot-2016-11-20-at-2-04-40-am

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement