Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 11: Kilivyohappen Club Next Door mastaa walivyouaga mwaka 2016…

on

Ni Usiku wa kuamkia December 30, 2016 ambapo mastaa mbalimbali kutoka Bongoflevani walikutana Club Next Door Dar es Salaam  kuwashukuru mashabiki zao na kuuwaga rasmi mwaka 2016.

Show hiyo iliyopewa jina la Triple Impact ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo, Shetta, Mwana FA, Dayna Nyange, Barnaba, Country Boy, Mima wa XXL ya Clouds FM na wengineo.

.

.

.

.

.

.Pichani: (Kushoto) Billnas na Nedy Music

.

.Pichani(Kulia) Shetta ni miongoni mwa wasanii walio

.

.

.

.

.

.Pichani(Kushoto) Mima wa XXL ya Clouds FM akiwa na Shade wa Clouds TV

.

.Pichani:(Kushoto) Julia Batalia akiwa na Nickson George

.

.

.

.Pichani( kushoto) Hellen Kazimoto akiwa Martin Kadinda

.

.

ULIIKOSA HII YA SHILOLE NA MPENI WAKE WALIVYOHOJIWA NA DIVA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement