Video Mpya

VideoMPYA: Kutoka Temeke huyu hapa Chege kaja na hii ‘Damu ya Ujana’

on

Msanii Chege Chigunda kutokea Mkubwa na Wanae TMK ametuletea video ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Maka Voice na wimbo unaitwa ‘Damu ya Ujana’ karibu kuitazama kisha usisahau kuweka Comment yako, video umeionaje..? na comment yako itamfikia Chege.

EXCLUSIVE: GigyMONEY amwaga machozi afunguka Mtoto si wa Mo J, amtaja Mzazi mwenzie

MO J KASEMA: Familia ya Gigy wanampa mwanaume mwingine mtoto sababu ya hela

Soma na hizi

Tupia Comments