Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

JUX KAJIBU: Kufunga mwezi mtukufu ila mbona yupo karibu na Vanessa?

on

Leo May 30, 2018 kwenye uzinduzi wa Tour ya Vanessa na Jux ambayo watakuwa wakizunguka kwenye baadhi ya mikoa wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku Tour hiyo ikitarajiwa kuanza June 30, 2018 katika mkoa wa Mwanza kisha kwenda mikoa mingine na kumalizia Dar es Salaam.

Sasa kwenye mahojiano na Ayo Tv Msanii Juma Jux amezungumza na moja ya swali aliloulizwa na kujibu ni ishu ya yeye kuwa karibu na Vanessa kipindi hichi cha mfungo ikiwa yeye kafunga na wakati bado hajamuowa Vanessa. Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama JUX akizungumzia.

ETI MAPENZI NA KAZI HAVIENDI! Vanessa kajibu ikiwemo ishu ya miwani yake

Soma na hizi

Tupia Comments