Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Davido a-sign dili nono na Manager wa Justin Bieber

on

Kumekuwa na tetesi kuwa staa maarufu kutokea Nigeria Davido ambaye kwa sasa anafanya vizuri kimataifa kuwa amesaini dili nono lenye mkwanja mrefu na Manager wa Justin Bieber ambaye ni Scooter Braun 

Tetesi hizo zimezuka baada ya wawili hao kuonekana wakiwa pamoja na kufanya mazungumzo katika mkutano wa kibiashara  huko Marekani , Scooter Braun kwa sasa anasimamia kazi za wasanii maarufu ikiwemo Ariana Grande, Justin Bieber , Tori Kelly, Martin Garrix na wengine wengi akiwa chini ya kampuni yake ya SB projects.

Hii inaweza ikawa ni good news kwa mashabiki wa Davido ambapo inawezekana ngoma kali ikaja soon ikiwa imewashirikisha baadhi ya wasanii wanaosimamiwa na kampuni hiyo ya SB projects.

Bonyeza PLAY hapa chini kuangalia Davido akiwa na Manger huyo.

Zari ashangazwa na wanaohukumu umri na mapenzi

Soma na hizi

Tupia Comments