PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Cheki Paul Okoye alivyoanguka jukwaani (+video)

on

Mwimbaji Paul Okoye kutokea Nigeria aliyekuwa akiunda kundi la P Square ameanguka jukwaani siku kadhaa zilizopita alipokuwa akitumbuiza nchini Suriname iliyopo katika Bara la Amerika.

Paul Okoye hajapata jeraha lolote baada ya kuanguka na aliendelea kuwaburudisha mashabiki kama kawaida usiku huo.

EXCLUSIVE: MUNA KAWAJIBU WALIODAI KAMTELEKEZA MTOTO WAKE MWINGINE

Soma na hizi

Tupia Comments