Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Dj maarufu wa Sweden Avicii amefariki dunia

on

Ni Mtayarishaji, Mwanamuziki na Dj, jina lake maarufu ni Avicii lakini la kuzaliwa ni Tim Bergling wa Sweden ambae amefariki leo akiwa na umri wa miaka 28.

Marehemu Dj Avicii ametamba na ngoma kali zikiwemo Wake Me Up, Hey Brother, Lonely Together na nyingine nyingi.

MSIBA WA MASOGANGE: Irene Uwoya alivyoangua kilio kuona Mwili wake

Soma na hizi

Tupia Comments