Tangaza Hapa Ad

Mix

Mkenya mweye miaka 15 aliyeshangaza ktk shindano la uimbaji Uingereza

on

Baba na mama yake ni Wakenya ila Sarah Ikumu alizaliwa Uingereza miaka 15 iliyopita na anaamini kuimba anaweza ndio maana hakusita kujitokeza kwenye mashindano makubwa ya vipaji ya Britain’s Got Talent…. tazama kwenye hii video hapa chini ujionee

ULIPITWA? Show ya Diamond Platnumz iliyovunja rekodi Marekani ndio hii hapa chini kwenye video, BONYEZA PLAY KUITAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement