Top Stories

ULGSP 1: Kwa mambo haya Unaweza ukaisahau KOROGWE?

on

Mradi wa ULGSP kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI unazidi kutoonyesha mabadiliko wanayodhamiria kuyafanya kupitia Halmshauri 18 ambazo zinatekeleza mradi huu.

Leo tutaangalia utekelezaji wa mradi huu wa Uboreshaji na Uimarishaji wa Halmashauri za Miji β€œUrban Local Government Strengthening Programme (ULGSP)”, unavyoendelea katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

Mradi huu wa Uboreshaji na uimarishaji Halmashauri za Miji (Urban Local Government Strengthening Programme) umekuwa ni ukombozi kwa Halmashauri ya Mji wa Korogwe na wananchi kwa ujumla.

LIVE MAGAZETI: Tundu lissu: hatusalimiki, Samia, Askofu Shoo wafunguka mazito

Soma na hizi

Tupia Comments