Tangaza Hapa Ad

TBT

TBT: Picha za utoto za Klose, Zidane, Rooney na Paolo Maldini

on

Alhamisi ya November 17 2016 mtu wangu naomba nikusogezee TBT picha za mastaa wa soka, leo naomba nikusogezee picha za utoto za staa wa mkongwe wa Real Madrid Zinedine Zidane, mkongwe wa zamani wa AC Milan Paolo Maldini, kiungo wa zamani wa Real Ricardo Kaka.

14j

Paolo Maldini

Wengine ambao nimefanikiwa kupata picha zao za utoto ni mkali wa zamani wa FC Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani Miroslav Klose, Wayne Rooney wa Man United na Andriy Shevchenko aliyetamba katika vilabu vya AC Milan na Chelsea.

Wayne Rooney

14e

Zinedine Zidane

14b

Miroslav Klose

14c

Ricardo Kaka

1

Andriy Shevchenko

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement