Tangaza Hapa Ad

Mix

VIDEO: Mwanafunzi aliyedunduliza Ada ya chuo kikuu toka mwaka 2009 kwa kuuza maji

on

Tunaishi kwenye dunia ambayo wako wenye afadhali, wapo wenye uwezo lakini pia wapo wanaoteseka kwa kukosa uwezo wa kifedha na ndio maana wengine wanalazimika kufanya kila namna kuhakikisha wanajivusha wenyewe.

Huyu mwenye hii post ni kijana mwenye umri wa miaka 26 na jila lake la kuzaliwa ni Willison Mrami wa mtaani Kibera Nairobi Kenya ambaye ni Baba wa watoto wawili, mume na muuza maji, kazi aliyoamua kuifanya ili aweze kumudu kulipa ada ya ya chuo kikuu anaposomea shahada ya biashara.

Akiwa na uwezo wa kuweka akiba ya shilingi mia mbili tu kwa siku ambayo ni sawa na shilingi elfu nne mia tatu za Tanzania, anahofia kuwa itamchukua muda mrefu mno kujaza kibaba hicho ili kuweza kugharamia masomo.

Hii hapa chini ni video akielezea kila kitu, bonyeza play kuitazama

VIDEO: Muhudumu wa Bar aliyeimba mbele ya Waziri, hajaamini kilichotokea baada ya hapo

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement