Tangaza Hapa Ad

Apps Pinned

Update/ Maboresho katika Apps zangu za Android na iOS

on

Mafundi wangu wamefanya maboresho/ updates katika Apps zangu za Android (Google Play) na iOS (App Store), hakikisha maboresho haya umeyapata kwa kubofya HAPA Android au search “millard ayo” kwenye Google Play yako na HAPA iOS au search “millard ayo” kwenye App Store yako. Ambao bado hawana hizi Apps waweza tumia maelezo yaliyopita kuzipata.

Tupia Comments

Advertisement