Top Stories

Fundi TV: TV za chogo vs flat screen ?? (+video)

on

AYO TV na millardayo.com zimekutana na Fundi TV maeneo ya Sinza Dar es Salaam aliye jitambulisha kwa majina ya Suleman Abdallah ambaye ameelezea TV za zamani maarufu kama TV za chogo na smart TV ambazo nyingi kwa sasa ni flat screen.

Fundi Abdallah ameeleza baadhi ya mambo kuhusu TV hizo ikiwemo, Ubora wake ukoje, soko na gharama za TV za zamani na mengineyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kuona fundi akielezea bonyeza

MBASHA: “Kwa Mungu Flora bado ni Mke wangu, Mtoto aliyemzaa ni mwanangu pia”

 

Soma na hizi

Tupia Comments