Habari za Mastaa

AudioMPYA: Msanii Ben Pol anayo hii yupo na Kiss Daniel wimbo unaitwa ‘ZAI’

on

Ben Pol kavuka tena boda mpaka Nigeria na time hii kamshirikisha Kiss Daniel kwenye wimbo mpya unaoitwa ‘Zai’ kama ulikua hujapata time ya kuusikiliza radioni huu hapa kupitia millardayo.com unakaribishwa kusikiliza.

Shilole ameingiza Tani Moja ya Pilipili zake Sokoni, Kafunguka Hapa (+Video)

MWIJAKU “Mc Pilipili ameshindwa kumhudumia mtoto, kimaisha hawezi kunipata Umemliza”

Soma na hizi

Tupia Comments