Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Alichosema Irene Uwoya kuhusu Wanaume wenye sura mbaya

on

Kuelekea siku ya Wapendanao ‘Valentine Day’ staa kutoka Bongo movie Irene Uwoya ameamua kutengeneza utaratibu wa kila siku kutaja kitu ambacho tulikua hatukijui kuhusu yeye ambapo leo February 8 2017 ameanza kwa kutupia moja.

Pamoja na urembo alionao Irene Uwoya kumbe hazimiki au hashtuki anapoona vijana wenye mionekano mizuri yaani  ‘Handsome Boy’ na anasisitiza >>’Kitu ambacho hamkijui kuhusu mimi ni kuwa SIJAWAHI kuvutiwa na Wanaume wenye mionekano mizuri

Sielewi ni kwanini lakini wanaume wenye sura mbaya huwa wanaamsha hisia zangu za KIMAPENZI‘ – Irene Uwoya.

Uliiona hii ya Msami kutoa sababu za kuachana na Irene Uwoya? bonyeza play hapa chini kutazama alichosema

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement