Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA : Nuh Mziwanda kaoa leo lakini kamuacha mkewe nyumbani kwao

on

November 10 2016 moja kati ya stori zinazotrend katika mitandao ya kijamii hususani instagram ni kuhusu msanii wa bongofleva anayefanya vizuri katika radio na tv station za bongo kwa hit single yake ya ‘Jike Shupa’ Nuh Mziwanda.

s14

Katika baadhi ya instagram account za watu mbalimbali wamepost picha zikimuonesha Nuh Mziwanda na mpenzi wake kuwa wameamua kufunga ndoa, millardayo.com imeongea na Mziwanda na kuthibitisha kufunga ndoa lakini amesema amemuacha mkewe kwao kesho ndio watafanya sherehe na kuondoka na mkewe.

s13

VIDEO: Ulikosa kuona Shilole na Nuh Mziwanda walivyokutanishwa live kupitia TV? bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement