Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Harusi ya mjukuu wa Malkia Prince Harry yapata pigo

on

Leo May 15, 2018 Kasri ya Kensington, ambayo ni makazi rasmi ya mjukuu wa malkia wa Uingereza, Prince Harry na mchumba wake, Meghan Markle imetoa taarifa inayoashiria baba wa Markle ‘hatohudhuria sherehe ya harusi ya binti yake’.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Thomas Markle ambaye anatuhumiwa kupigwa picha za “paparazi” kwa makubaliano ya siri, amekataa kuhudhuria sherehe hiyo kwa kuhofia ‘kumuaibisha binti yake’.

Hata hivyo taarifa kutoka Kasri la Kensington zinadai Thomas Markle amepata shinikizo la damu.

Mwandishi wa Habari asimulia alivyotekwa na wafanyakazi wa Ofisi ya RC Arusha

Soma na hizi

Tupia Comments