Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Linah amerudi anga za Ole Themba “Nimefanya collaboration matata na Wasanii wa nje”

on

Kutokana na msanii Linah kumshirikisha Rachel katika wimbo wake mpya hakuhofia kuwa hautopata airtime kubwa kutokana na ukimya waliokuwa nao wote wawili? na amejipanga vipi na wimbo utakaofanya vizuri kwenye level za kimataifa kama ulivyokuwa wimbo wa Ole Themba?

Ili kupata majibu ya maswali hayo bonyeza PLAY kumsikiliza Linah akiyajibu kwenye Exclusive Interview na Ayo TV.

CHEMICAL baada ya kuachia wimbo wake mpya bila Management

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments