Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Kingine cha kufahamu kutoka Wasafi Fm na Wasafi Tv

on

 Leo February 13 2018 kupitia instagram page ya Diamond Platnumz amezidi kutuonyesha maandalizi ya Wasafi tv na Wasafi radio hii ni baada ya kupost video ya mnara kwa mara ya pili ambao unaonekana upo kwenye maandalizi kwaajili ya Wasafi tv na Wasafi radio.

Baada ya post hiyo kupitia instagram page ya Diamond Platnumz hajaandika chochote kuhusiana na Wasafi tv na Wasafi radio.

Diamond Platnumz alishawahi kupost mnara kupitia instagram account yake na wengi kutafsiri kuwa ndio maandalizi ya Wasafi tv na Wasafi radio na pia wasafi tv pamoja na Wasafi radio zitapatikana ndani ya makao makuu ya WCB.

Zari saa chache baada ya picha ya Hamisa na videographer wa Diamond

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments