Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Yanga baada ya kuwasili Aiport Dar es Salaam wakitokea Comoro

on

Baada ya Mabingwa wa Tanzania Dar es Salaam Young Africans kuifunga N’gaya Club ya Comoro katika mji wa Moroni kwa goli 5-1, Jumanne ya February 14 2017 waliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere na kupokewa na baadhi ya mashabiki wake.

Yanga baada ya kuwasili Airport Dar es Salaam kocha wao msaidizi Juma Mwambusi aliongea na waandishi wa habari “Tumecheza mechi moja bado mechi moja hapa nyumbani kikubwa ni kujipanga na kuhakikisha tunaingia hatua nyingine, wachezaji wapo sawa sawa lakini Haruna Niyonzima ndio anasumbuliwa na malaria”

FULL HD: All goals N’gaya vs Yanga February 12 2017, Full Time 1-5

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement