AyoTV

“…mwenzake akamwambia huyu piga risasi” – Mke asimulia alivyopigwa risasi na Polisi

on

August 9, 2017 kulikuwa na headline kutoka Mwanza ambazo zilieleza taarifa za mke wa Mwenyekiti wa Mtaa wa Majengo Mapya uliopo Kata ya Mabatini, Mwanza kudaiwa kupigwa risasi na Askari Polisi na kumjeruhi.

Sasa leo Majeruhi huyo Bi. Editha Lucas ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando ambako anapatiwa matibabu amefunguka na kusimulia tukio zima namna lilivyotokea baada ya ukuta wa nyumba yao kugongwa na gari.

>>>”…aliwapigia simu Polisi wengine wakasema wako mbali, wao wakawapigia Polisi wenzao kuwaambia waje kuangalia matukio. Walipofika nilikuwa ndani nikasikia makelele mume wangu analalamika ‘mnaniaua, mnanipasua mbavu’. Niliotoka nikakuta wanampiga, nikamtoa.” – Editha Lucas

UFAFANUZI: Kuhusu Polisi kudaiwa kumpiga risasi mke wa Mwenyekiti, Mwanza…play hapa chini!!

Kwenye video hii ni Polisi Dodoma wakifafanua kuhusu mwanamke aliyeuawa na kutenganishwa kichwa…play kuitazama!!!!

Soma na hizi

Tupia Comments