Tangaza Hapa Ad

Videos

VIDEO: Erick Omondi kairudia ‘SALOME’ ya Diamond ft Rayvanny na kuifanyia hii video

on

Erick Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu Tanzania kutokana na fani yake ya uchekeshaji lakini pia utundu wake wa kuigiza na kuzirudia nyimbo za Diamond Platnumz kwenye video kama vile ‘nasema nawe’, Aje ya Alikiba

Time hii kairudia ya Salome ya Diamond Platnumz ft Rayvanny na ndio hii hapa chini, ukishaitazama usiache kutupia comment yako ni lazima apite kusoma Watanzania wanasemaje.

ULIKOSA HII PERFOMANCE YA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE MTV MAMA AWARDS 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement