Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA: Tulimpokea Rayvanny miezi mitano iliyopita… leo katuonyesha nyumba na gari

on

Ni mwimbaji mwingine staa wa bongofleva, makofi mengi amepigiwa kwenye utunzi pamoja na ukali wa melody, anaitwa Rayvanny kutoka WCB ambaye ngoma yake ya kwanza kuiachia toka yuko chini ya lebo ya WCB aliiachia ‘kwetu‘ April 2016.

Anazo sifa nyingine za uchapakazi pia na ndio maana leo anafurahia mafanikio/hatua yake kwa kipindi hiko kifupi ambapo aliweka picha ya nyumba na gari lake na kuandika ‘Daaah eti na mimi leo naingia kwangu, kweli Mungu hana upendeleo (swala la nyumba na gari mimi………. )

screen-shot-2016-09-17-at-11-51-37-am

screen-shot-2016-09-17-at-11-51-50-am

ULIIKOSA YA RAYVANNY ALIVYOZAWADIWA GARI JIPYA NA WCB? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

ULIIKOSA YA RAYVANNY ALIVYOWACHEKESHA KINA MR. BLUE, SHILOLE, CHEGE NA WENGINE KWENYE BASI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

ULIIKOSA YA SHILOLE ALIVYOWAPELEKA WASANII WENZAKE NYUMBANI KWAO IGUNGA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement