Tangaza Hapa Ad

Mix

Video: GK amefunguka alivyokutana na Vanessa Mdee na Aliyewakutanisha

on

Moja kati ya wasanii wa long time kwenye game ya Bongofleva GK ameeleza ni jinsi gani alikutana na mrembo Vanessa Mdee na kuweza kufanya nae collabo, ni mdundo wa Gk unaoitwa Baraka leo October 27 2016 Gk ametuelezea ni ugumu gani alikutana nao wakati wa kumtafuta Vanessa Mdee na Msanii aliyemsaidia kumkutanisha na mrembo huyo.

Unajua Vanessa Mdee ni msanii mkubwa na mimi ni msanii mkubwa sikupata ugumu sana lakini mimi namshukuru sana AY maana Vanessa Mdee na AY ni watu ambao wako karibu sana kwahiyo mimi nilimwambia AY kuwa nataka kufanya collabo na Vanessa na AY akamfikishia Vanessa Mdee na tukafanya collabo‘>>>>GK

ULIMISS HII YA MO MUSIC  ANAMUANGALIA NANI KAMA ROLE MODEL WAKE KWA BONGO ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement