Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VideoMAGOLI: Yanga vs Majimaji FC Feb 14 2018, Full Time 4-1

on

Yanga leo uwanja wa Taifa Dar es Salaam ilicheza game yake ya 18 ya Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Majimaji FC kutokea Songea, Yanga ikiwa mwenyeji imefanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-1, magoli ya Yanga yakifungwa na Papy Tshishimbi aliyefunga mawili, Obrey Chirwa na Emmanuel Martin wakati goli la Majimaji FC likifungwa na Marcel Kaheza.

VIDEO:Magoli ya Simba walivyorudi kimataifa leo vs Gendermarie Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments