Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

UVCCM wazungumza juu ya ajali ya wanafunzi wa UDSM

on

Leo June 12,2018 tunayo story kutokea kwa Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM, Daniel Zenda ambapo vifo vya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waliofariki katika ajali ya gari maeneo ya Riverside Ubungo.

Katika ajali hiyo iliyohusisha ambulance ya chuo, Zenda amesema anatoa pole kwa wafiwa lakini pia anawaomba wanafunzi ambao bado wanaendelea na masomo watulie.

“Nilipokea taarifa za ajali kupitia mitandao na kwa vile ninaishi maeneo ya Ubungo niliweza kwenda eneo la tukio ambapo tukaanza kutoa msaada wa awali” amesema Zenda

Wachina 19 na Watanzania 6 wafikishwa Mahakamani kwa uhujumu uchumi

Soma na hizi

Tupia Comments