Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: WCB wamkamata anayetukana Instagram kwa kutumia jina la Shilole

on

Mitandao ya kijamii imetoa uwanja mpana wa kila aliyejiunga kutoa maoni yake au kuandika chochote kwenye page yake au page za wenzake ambapo uhuru huu umepelekea tuone wengine wakitukanwa au kuandikwa vibaya.

Asubuhi ya November 18 2016 Meneja wa Diamond Platnumz na Tiptop Connection Babu Tale amethibitisha kukamatwa kwa kijana wa Kitanzania ambaye anatuhumiwa kutoa matusi kupitia Instagram.

Tale ameandikaKama unajua ulishawahi kumtuma huyu dogo atukane watu ujue sheria ipo mlangoni kwako na huyu atakua mfano, hapa alikua anawataja waliomtuma…… serikali ikiamua hata ujifiche wapi utakamatwa tu so endeleeni kutukana watu msiowajua, anajiita Shilole Kiuno’

Mwanachama mwingine wa WCB aliyetoa maoni yake kuhusu hii ni dancer wa Diamond Mose Iyobo >>> ‘Huyu ndio mwenye account ya @Shilolekiuno_official mavuno ya matusi yake ni pingu alikua anajiona mjanja mwenyewe leo kayakanyaga

Muone anavyotia huruma sema amekamatwa wakati huruma amesafiri ndio kichwa kinapomuuma na mpaka aje kurudi huyu Huruma Dar imeshakua ya Madereva sio Makonda tena‘ – Mose Iyobo


.screen-shot-2016-11-18-at-11-20-31-am

VIDEO: Ni comment gani mbaya imewahi kumuumiza Diamond Platnumz? bonyeza play kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Diamond Platnumz alivyomuita Zari kwenye stage ya White Party tazama hii video hapa chini

USIPITWE NA HABARI !!!!! Kazi ya Millard Ayo ni kukusogezea karibu habari zote kuanzia za Mastaa, burudani, michezo, siasa na mengine ya mtaa, jiunge na mimi kwenye Instagram, Facebook na Twitter kwa jina hilohilo la @millardayo kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM FACEBOOK TWITTER

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement