Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Ulimwengu kaeleza mipango yake mkataba wake TP Mazembe utakapoisha

on

Kuna stori tuliwahi kuzisikia kuhusu Thomas Ulimwengu kuwa mmiliki wa TP Mazembe Moses Katumbi atamuuza Ulimwengu kutokana ana amini kuwa Ulimwengu atakuwa hana raha kutokana na rafiki au mtanzania mwenzake Mbwan Samatta kaondoka, Ayo TV imempata Ulimwengu katika exclusive interview

“Kwa hilo sidhani kama kuna ukweli huu ni mpira Samatta kweli ni ndugu yangu kaondoka TP Mazembe na kaacha pengo kubwa, kweli kuna ofa ambazo zipo ninachosubiri ni kumaliza mkataba wangu mwisho wa mwaka huu niangalie ustaarabu mwingine”

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement