Habari za Mastaa

VIDEO: Ulivyopokelewa mwili wa ‘Sam wa Ukweli’, Mastaa waliohudhuria

on

Leo June 8, 2018 Mwili wa marehemu Salum Mohamed maarufu Sam Wa Ukweli tayari umeshawasili Kijijini kwao ambapo mazishi yatafanyika Kiwangwa kwenye Mananasi ambapo Mama yake pia alizikwa.

FULL VIDEO: Mwili wa ‘Sam wa Ukweli’ ulivyotolewa Mwananyamala kwenda kuzikwa

Mjomba wa ‘Sam wa Ukweli’ “atazikwa kwenye mananasi alipolala Mama yake”

Soma na hizi

Tupia Comments