Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VideoMPYA: Mabibi na mabwana Fid Q amerudi tena kwenye TV zetu na ‘Kemosabe’

on

Ijumaa ya January 20 Fareed Kubanda aka Fid Q ameamua kuiwekea alama kwa kuachia video mpya ambayo ameipa jina la Kemosabe ambayo audio yake ilitoka August 13 ambayo ni kumbukumbu yake ya siku ya kuzaliwa.

Ukishaitazama video yenyewe sio mbaya ukibakisha na comment yako ili Fid Q akipita baadae ajue watu wake wameipokeaje……

ULIPITWA? Mwana FA ajibu kuhusu beef na Sugu, Lady Jaydee na ajadili ya kuacha muziki na mengine, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement