Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Video Mpya

VideoMPYA: Tusisahau Makomando wametualika kwenye hii ”Anaona Gere”

on

Wakali wawili kutoka kwenye game ya Bongofleva Muki na Fredy ambao kwa pamoja wanaunda kundi la Muziki la Makomando wanatualika kwa pamoja kuitazama video ya mdundo wao mpya ”Anaona Gere”

Usisahau pia kuniachia comment yako hapa na wakali hawa wataitazama hapa!!!

ALICHOKIANDIKA WOLPER BAADA YA KUSIKIA WIMBO MPYA WA HARMONIZE

Soma na hizi

Tupia Comments