Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Wanene Entertaiment wametuletea hii ‘Naipenda Dancehall’

on

Mtu wangu kama wewe utakuwa ni mpenzi wa midundo ya Dancehall basii hii isikupite Mtu wangu, DJ Davizo anatualika kuitazama video yake mpya ya Naipenda Dancehall, Video ambayo imeongozwa na Director kutoka Wanene Entertaiment, pia usisahau kuniachia comment yako hapa chini na mkali huyu ataiona hapa.

ULIMISS HAYA MANENO YA MSAGA SUMU KUHUSIANA NA USHINDANI KUONGEZEKA KATIKA MUZIKI WA SINGELI ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement