Tangaza Hapa Ad

fB insta twitter

PICHA : Vanessa Mdee akiwa na familia ya Peter wa P-square

on

Msanii Vanessa Mdee yupo nje ya nchi ambapo anafanya shughuli zake za muziki na hapa nimekusogezea picha ambazo yupo na mke pamoja na mtoto wa msanii Peter Okoye wa kundi la P-square wa  Nigeria.Picha ya kwanza alipost Peter ambayo ilikuwa ni picha ya mke wake Lola akiwa na Vanessa Mdee huku picha ya pili Vanessa alipost akiwa na mtoto wao anayeitwa Aliona.

The Queen of my heart and East Afrikas Queen, we are lucky men. @lolaomotayo_okoye @vanessamdee malkia halisi wa kiAfrika ?

A post shared by Peter okoye Psquare (@peterpsquare) on

Nights with Lola and Peters, Aliona ?

A post shared by VeeMoney (@vanessamdee) on

Hata hivyo picha hizo za Vanessa na familia ya Peter Okoye wa P-Square hazitoa maelezo ya nini kinachonedelea kama kuna project inayofuatia au ni uhusiano wa kirafiki tu ndio umemfanya Vanessa kumtembelea Peter.

Video: Yusuph Mlela ameomba pambano la ngumi na Nay wa Mitego>>> 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement