Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Kauli ya Rais wa TFF wakati wa kusaini mkataba wa milioni 250 Ligi Kuu

on

Jumatatu ya Septemba 19 2016 shirikisho la soka Tanzania TFF liliingia mkataba wa udhamini wa Ligi Kuu Tanzania bara na bank ya DTB, TFF wamefanikiwa kuingia mkataba wenye thamani ya Tsh milioni 250 kwa mwaka, wakati wa kusaini mkataba huo Rais wa TFF Jamal Malinzi aliongea kauli kwa wale ambao wanampinga.

“Katika mpira wa miguu hawa wadhamini mnaowaona hapa sio watu wa mchezo na sio watu wa kufanya kazi na chombo ambacho kinatukanwa tukanwa, niwaombe ombi moja hiki chombo kinachoitwa TFF kina hadhi yake katika jamii ndio maana kinaweza kuyavuta mashirika makubwa kama haya”

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement