Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO:Goli moja la Himid Mao liloipa Azam FC kombe la Mapinduzi , Full Time 1-0

on

Tarehe 30 2016 ndio ilikuwa siku ambayo mashindano ya Mapinduzi Cup yalifunguliwa na leo January 13 2016 Kombe la Mapinduzi lilifikia katika hatua ya fainali ambapo   Azam FC walikutana na Simba SC kucheza katika hatua ya fainali  na Azam FC waliibuka washindi baada ya kuifunga Simba kwa goli 1-0

Goli la Azam FC lilifungwa katika dakika ya 12′ kupitia kwa Himid Mao goli ambalo lilidumu mpaka mwisho wa mchezo na hivyo kuifanya Azam FC kuibuka washindi wa kombe la Mapinduzi 2017.

ALL GOALS: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement