Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 15: Viongozi na wakazi wa DSM walivyoshiriki kuuaga mwili Joseph Mungai

on

November 8 2016 ziliripotiwa taarifa za kushtukiza kuhusu kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Joseph Mungai ambaye alifariki dunia baada ya kuugua ghafla. 

Leo November 10 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,  amewaongoza viongozi na wananchi wa Dar es Salaam kuuaga mwili wa Waziri na mbunge Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Joseph  Mungai katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam.

Pamoja na Rais Magufuli Viongozi wengine waliofika kuuaga mwili wa Marehemu Mungai ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, Makamu wa Rais Mstaafu Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Tluway Sumaye, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Viongozi wengine mbalimbali wa Serikali na Siasa, mwili wake utasafirishwa kesho Ijumaa kwenda Mafinga Mkoani Iringa kwa Mazishi.

hjlkl

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Augustine Mahiga

gyy

ds

bnhj

Rais John Pombe Magufuli

3x6a4411

3
1

jkhgk

jkkkl

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa

jkl

opo

qq

ssss

hjs

jk

Makamu wa Rais Mstaafu, Gharib Bilali

VIDEO: Ukimuuliza Waziri Lukuvi kuhusu marehemu Joseph Mungai atakueleza hivi….UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement