Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Kibali cha Farid Musa kucheza soka Hispania kimepatikana

on

Baada ya kukaa Dar es Salaam muda mrefu kwa mchezaji wa Azam FC aliyefuzu kucheza soka katika klabu ya Tenerife ya Hispania Farid Musa kwa sababu ya kukosa kibali cha kazi, hatimae October 26 2016 kibali ambacho ndio kilikuwa kinatajwa kuwa tatizo kwa mchezaji huyo kimepatikana, sasa safari ya Farid kwenda kucheza soka kwa mkopo Tenerife kimepatikana.

CHANZO CHA STORI: AZAM TV

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement