Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Ushindi wa Simba vs African Lyon uliyoipeleka robo fainali ya ASFC

on

February 16 wekundu wa Msimbazi Simba walicheza mchezo wao wa hatua ya 16 bora ya kombe la Azam Sports Federation dhidi ya African Lyon uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Simba walicheza game hiyo na kufanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Laudit Mavugo dakika ya 57, ushindi huo unaipeleleka Simba robo fainaili ya kombe hilo.

FULL HD: All goals N’gaya vs Yanga February 12 2017, Full Time 1-5

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement