Tangaza Hapa Ad

EXCLUSIVE! Vanessa Mdee asema Jux kamuweza (+video)


Kwenye FIESTA ya Dar es salaam Mastaa wa Bongofleva Jux na Vanessa Mdee walifanya yao kwenye stage  ambapo V Money alilainika na kumsamehe Jux ili warudiane baada ya Jux kuwatanguliza kaka zake Q Chief na Cassim wamuombee msamaha.

Baada ya kushuka kwenye stage Vanessa alihojiwa na AyoTV na kuulizwa umemsamehe? >>> “Yani sio kwa yale ma-melody ya Cassim na Q Chief utaacha kusamehe? lakini tutaona… tutafanyia kazi, Jux alijiandaa sana na anajua kwamba mimi ni Shabiki Mkubwa wa Q Chief na Cassim”

Najua amefukua yale maongezi ya zamani ambayo tulikuwa nayo kuhusiana na muziki na vitu ambavyo naenda, ametumia jinsi gani anavyonifahamu” – Vanessa

VIDEO: MAHABA MAZITO YA JUX… KAM-KISS VANESSA FIESTA… TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement