Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Viongozi wa CHADEMA walivyowasili leo Kisutu (+video)

on

Leo June 12, 2018 Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi wamerudi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa ajili ya kusikiliza uamuzi wa kesi yao.

Uamuzi huo unaohusu kama upande wa utetezi (wakina Mbowe) ukate rufaa ama lah unatarajiwa kutolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

LIVE MAGAZETI: Uchunguzi mkubwa mali za VIGOGO, Serikali kuwasaidia wenye wake wawili

Soma na hizi

Tupia Comments