Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Alivyoperfom Vanessa Mdee kwenye kituo cha TV cha Citizen Kenya

on

Ni fahari kubwa kuona wasanii wa nyumbani kuvuka mipaka ya Tanzania na muziki wao kukubalika mpaka nchi za nje ya Tanzania, Msanii wa kike kutoka Bongoflevani, Vanessa Mdee amezikamata headlines baada ya kuchaguliwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaoperfom kwenye Coke Studio ambayo atafanya collabo na msanii wa Marekani, Trey Songs nchini Kenya.

Licha ya kuchaguliwa Coke Studio alifanya pia interview na kituo kikubwa cha kenya cha Citizen na alifanya perfomance ambayo ilivutia watu wengi, kama ulimiss kuona perfomance hii nakusogezea video hapa chini pamoja na interview ilivyokuwa.

Nakusogezea video ya interview ya Vanessa mdee na Citizen

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA VANESSA MDEE KUELEZA SABABU ZINAZOMFANYA AJIONE BADO YEYE NI MSANII MCHANGA? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement