Tangaza Hapa Ad

Mix

VIDEO: Vodacom wamezikabidhi milioni 100 kwa mshindi wa M-PAWA

on

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kwa kushirikiana na Benki ya CBA wiki hii wamekabidhi kitita cha milioni mia moja kwa mama  Paulina Kulwa mkazi wa Mwanza baada ya kushinda kupitia huduma ya M-PAWA.

Paulina alikabidhiwa hundi hiyo katik aofisi za Vodacom jijini mwanza na Meneja Masoko na huduma za Kifedha Vodacom Tanzania, Noel Mazoya na kusema lengo la kuanzisha huduma hii ni kuwasaidia Watanzania kuwa na utamaduni wa kuweka akiba.

Aidha, Kulwa baada ya kukabidhiwa hundi alisema……>>>>’Namshukuru Mungu na Vodacom kuanzisha huduma hii maana tayari imenifanya kuwa milionea na kuanzisha ajira kwaWatanzania wengine, lakini pia watoto wangu wanaenda shule na nina nyumba’

 

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA NOV 11 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement