Tangaza Hapa Ad

Seline.. yumo kwenye list ya wapya waliojitokeza 2016


Kwenye orodha ya Wasanii wapya waliojitokeza mwaka 2016 Tanzania kuonyesha uwezo wao ni pamoja na Seline ambaye mwanzoni ilitangazwa kasainiwa na The Industry lakini badae ikatangazwa kwamba ameondoka chini ya usimamizi huo.

Baada ya kuondoka The Industry Seline ameitoa hii video inaitwa ‘DOLLAR‘ unaweza kuitazama na kisha kuacha comment yako ili akipita ajue Watanzania wenzake¬†wameipokeaje.

VIDEO: ‘Nilikua Mwanafunzi ninaepigwa mno Darasani’ – Idris Sultan tazama hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement